JOSE MOURIHNO ASEMA TIMU BORA NDIYO ILIYOPOTEZA AKATAA KUZUNGUMZIA KADI NYEKUNDI PIA ASIFU KIWANGO CHA MAN UNITED
Rio Ferdinand akionana uso kwa uso na Refa baada ya mechi kuisha jana usiku old trafford.
Patrice Evra (Kulia) na Ashley Young (katikati)wakiondoka uwanjani kwa jaziba kubwa baada ya refa kuwaangusha kwa kadi nyekundu aliyompa Nani.
FAINALI
25 Mei 2013
UWANJA wa WEMBLEY, London.
Post a Comment