Wednesday, February 27, 2013
SWANSEA CITY YATWAA KOMBE LA CAPITAL ONE
Wakikaribishwa washindi hao Swansea City na kombe lao la Capital One zamani Carling Cup
Defender Chico Flores na goalkeeper Michel Vorm kwenye basi hilo la wazi wakiwa na kombe
Midfielder Nathan Dyer akionekana hapa na kombe mkononi...
Umati wa watu ukiwazunguka mitaa ya town washindi hao Swansea
kila mtu alikuwa na furaha wakati huo
Meneja wa Swansea Michael Laudrup amejitahidi sana kuliko watu walivyokuwa wanamtabili
Washindi ni sisi... Swansea wakiwapungia mikono wadau mbalimbali na huku raia wakiwachukuwa picha mbalimbali katika mji huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment