Huo ulikuwa
usiku mzuri kwa Mourinho ndani ya Barcelona tangu aiwezeshe Inter Milan
kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa akiwa na wachezaji 10.
Nyota: Cristiano Ronaldo
alifunga mabao mawili Real Madrid ikiifunga Barcelona 3-1 Uwanja wa Nou
Camp
Katika
mchezo huo, Messi, ambaye aliingia uwanjani kusaka bao la 50 msimu huu,
alifunikwa kama ilivyokuwa kwenye mechi na AC Milan.
Ronaldo akiangushwa
chini na Gerard Pique na kuwa penalti akaenda kufunga mwenyewe dakika ya
13
Ronaldo akimpeleka kulia
Jose Manuel Pinto, huku mpira ukitinga kushoto
Messi
alifunikwa na beki kinda Mfaransa, Raphael Varane, na alikuwa bwana mdogo huyo
huyo wa miaka 19 aliyefunga kwa kichwa bao la tatu.
Bao la Varane lilikumbushia bao lake la kusawazisha katika mchezo wa kwanza na lilimsisimua mno Mourinho, ambaye alimvaa beki huyo wa kati kwenye mstari wa kuingia uwanjani na kuanza kushangilia naye.
Bao la Varane lilikumbushia bao lake la kusawazisha katika mchezo wa kwanza na lilimsisimua mno Mourinho, ambaye alimvaa beki huyo wa kati kwenye mstari wa kuingia uwanjani na kuanza kushangilia naye.
Jordi Alba
aliifungia bao la kufutia machozi Barca dakika za lala salama akimalizia pasi
nzuri ya Andres Iniesta.
Ronaldo akifunga la
pili
Mourinho
alimpeleka nje Iker Casillas kukutana na vyombo vya habari mwishoni mwa mchezo
na kuitaka Real Madrid ihakikishe Ronaldo anabaki.
Tetesi
zinamhusisha mchezaji huyo na kurejea England, huku ikisemekana klabu hiyo haina
mpango wa kumuongezea mkataba wake ambao unamalizika mwaka 2015, na Casillas
alisema: ‘Ni mchezaji wetu muhimu mno katika mechi hizi kubwa.
‘Alikuwa tu
siyo babu kubwa usiku huu, lakini amekuwa hivyo katika Clasicos nyingine. Ni
shujaa wetu.’
Raphael Varane akifungwa
kwa kichwa bao la tatu
Lionel Messi na chini
kulia taabani
Jordi Alba akishangilia
bao lake la kufutia machozi
Pepe akiwa ameanguka
chini baada ya kupambana na wapinzani wake
Sir Alex Ferguson na
Msaidizi wake, Mike Phelan walikuwa Nou Camp jana
No comments:
Post a Comment