MAPACHA WATATU KUZINDUA ALBAMU YA PILI MACHI, 2 MWAKA HUU
| Waimbaji wa bendi ya Mapacha watatu Khalidi Chokolaa (kushoto) na Jose Mara wakiwa wameshika CD ya albam yao mpya Dar es salaam jana watakayoizindua March 2 katika ukumbi wa bussines park. |
| Meneja wa bendi ya Mapacha Watatu akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wao |
| Msanii wa bendi ya mapacha watatu Catherine Fidelic ' Cindy' akiimba mbele ya wana habari |
Post a Comment