NASSIB RAMADHAN NA FRANCIS MIYEYUSHO WAPIMA UZITO TAYARI KWA MPAMBANO WA KESHO SAA KUMI JIONI
Mabondia Nassib Ramadhan na Francis Miyeyusho wamepima uzito leo tayari kumaliza zile tambo ambazo wamekuwa wakizitoa muda mrefu.
Mabondia hawa wamepima uzito leo kwenye uwanja wa Karume pamoja na mabondia woite wa mapambano ya utanguzi
Mabondia hawa wamepima uzito leo kwenye uwanja wa Karume pamoja na mabondia woite wa mapambano ya utanguzi
| Nasib Ramadhan (kushoto) na Francis Miyeyusho (kulia) wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito |
| Nassib Ramadhan akipima uzito |
| Francis Miyeyusho akipima uzito |
| Mkanda unaopambaniwa kesho |
| Nassib Ramadhan akisaini fomu za kupima afya |
| Francis Miyeyusho akipima uzito |
Post a Comment