Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, October 8, 2012

YANGA YALAMBISHWA SUKARI KIJIKO KIMOJA KAGERA

Kikosi cha Yanga

Ligi kuu ya Tanzania Bara imeendelea hii leo katika uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba ambapo timu ya Yanga imeambulia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wakata miwa wa Kagera Sugar.
Bao la Kagera Sugar limepatikana kipindi cha pili cha mchezo dakika ya 70, Bao hilo limefungwa na mchezaji mahiri mzaliwa wa Kimbugu Muleba Temmy Alfonce. 
Huu unakuwa mwanzo mbaya kwa kocha mpya wa Yanga Erneus Brandts ambaye ni raia wa Holland ambapo mechi ya kwanza aliambulia suluhu dhidi ya Simba na leo kupata kichapo cha goli kwa moja kwa bila dhidi Kagera sugar .

No comments:

Post a Comment