SIMBA YAFUNGWA BAO 3-0 NA SOFAPAKA YA KENYA
![]() |
| Kikosi cha Simba na kocha wa magolikipa |
| Kiungo wa Simba Salim Kinje akipambana na Humphrey Mteno wa Sofapaka kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa jana uwanja wa Taifa. |
| Daniel Akuffo akitolewa nje ya uwanja baada ya kuzimia sekunde kadhaa kugongana na beki wa Sofapaka |
![]() |
| Mlinda mlango wa simba akiwa hewani kudaka mpira wakati wa mchezo wao na Sofapaka ya Kenya |
![]() |
| Wachezaj wa Sofapaka wakishangilia bao la kwanza |
![]() |
| Benchi la ufundi la Simba |
![]() |
| Kikosi cha Simba wakipeana moyo kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
| Benchi la ufundi la Sofapaka |






Post a Comment