Wachezaji wa Uzuri wakicheza mpira uwanja wa Karume

Wachezaji wa timu ya Uzuri wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Karume baada ya mchezo waliokuwa wacheze na Evergreen kutofika na  Uzuri kupewa pointi tatu na mabao mawili

Wachezaji wa Mtibwa na Simba B wakichuana kwenye mchezo wa fainali uliofanyika hivi karibuni uwanja wa Taifa kwa timu ya Simba kutwaa ubingwa wa super 8.

No comments