Mfungaji wa bao la tatu Haruni Athumani akishangilia bao lake kwa staili ya aina yake\

Mashabiki hapa ni raha tu, hata giza halikuonekana wala muda wa kufuturi hawakuwa tena na habari nao   

Raha ya mashabiki ni ushindi tu, hapa mashabiki wanashangilia mambo adimu ya vijana wa simba

No comments