Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, February 25, 2014

MANCHESTER UNITED WAFULIA UGENINI HAKUNA CHA RVP WALA ROONEY UGIRIKI,UEFA CHAMPIONS LEAGUE YAFUNGWA NA OLYMPIAKOS 2-0


Kipindi cha kwanza dakika ya 38 Manchester United wanafungwa bao na timu ya Olympiakos ya Ugiriki kwenye uwanja wao wa Karaiskakis Stadium, Jijini Athens, kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS. Mfungaji wa bao hilo akiwa ni Alejandro Domínguez baada ya kupata krosi kutoka kwa Giannis Maniatis na hatimae Alejandro kuugusa kwa kuuamisha uelekeo na kumfunga kipa wa United David De Gea na kufanya 1-0. Kipindi cha kwanza kinamalizika kwa bao hilo moja kutoka kwa Alejandro Domínguez.Wayne Rooney (katikati) na mchezaji wa Olympiakos Jose Holebas kwenye mbio kuutafuta mpira...
Kipindi cha pili dakika 55 Mchezaji wa Olympiakos Joel Campbell akaiongezea bao la pili  timu yake kwa kufanya 2-0 dhidi ya United baada ya mabeki wa United kufanya makosa ya ukabaji na hatimaye Joel Campbell kufunga bao hilo kwa kupewa pasi safi na Michael Olaitan.Elated: The win meant so much to the Olympiacos players, seen here celebrating the secondOlympiakos wakishangilia bao!Joel Campbell akipongezwa baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0 katika kipindi cha pili dakika 55 dhidi ya United ya England.Outstretched: De Gea is well beaten by Campbell's shot in the 53rd minute to deflate UnitedKipa De Gea akipelekeshwa!Mpaka langoni!Bao!

Dominguez katikati akishangilia na bao lake la kwanzaNipishe!!!

Campbell akishangilia bao lake dakika chache baada ya kutoka mapumziko!Kipa Roberto raha tele!!!Down and out? Moyes slumps back into his seat after Olympiacos score their second goalKocha Devid Moyes (katikati) baada ya kuchapwa bao la piliMAn Utd defensive woe vs OlympiakosWachezaji wa United Hoi baada ya kufungwa bao!!Hoi!!! bila majibu!Da!! Devid Moyes akiangalia kuelemewa na Olympiakos huku ikionekana wachezaji wake kucheza chini ya kiwango!!!Taswirazzzz!!!!! mashabiki wa Olympiakos!!Kocha wa United David Moyes!Majanga kwa United!! Hoi!... Timu waliozoea kujipigia leo hii imewatolea uvivu na kulipiza kisasi!
Baada ya kufungwa bao la pili United, Dakika ya 60 kipindi cha pili wamefanya mabadiliko Shinji Kagawa akaingia kuchukua nafasi ya Tom Cleverley na huku Danny Welbeck akichukua nafasi ya Antonio Valencia.Rio akikabwa Ashley Young akiishia kuangalia Marcano anavyofanya!Smalling yale yale....Flat out: Robin van Persie lies on the floor after missing United's best chance of the game late onVan Persie chini baada ya kukosa bao la wazi...akiishilia kupaisha juu kwa juu

No comments:

Post a Comment