Mchezaji wa Borussia Dortmund Robert Lewandowski akishangilia moja ya mabao yake mawili usiku huu.
Hulkakichuana na Marcel Schmelzer
Mchezaji wa Zenit Viktor Fayzulin akichuana na Nuri Sahin kwa karibu kuutafuta mpira!
Mchezaji wa Dortmund Marco Reus akiunasa mpira dhidi ya Andrey Arshavin kushoto na Axel Witsel
Lewandowski akifunga bao karibu na Nicholas Lombaerts
Lewandowski akishangilia bao na Lukas Piszczek, Lewandowski amefunga bao mbili kipindi cha pili dakika ya 61 na 71.
VIKOSI:
Zenit: Lodigin, Anyukov, Neto, Lombaerts, Criscito, Witsel, Fayzulin, Hulk, Shatov, Arshavin (Tymoshchuk 15)
Subs not used: Malafeev, Kerzhakov, Hubocan, Zyryanov, Smolnikov, Lukovic
Dortmund: Weidenfeller, Friedrich, Schmelzer, Papastathopoulos, Piszczek, Kehl, Sahin, Grosskreutz, Mkhitaryan, Reus, Lewandowski
Subs not used: Langerak, Hofmann, Jojic, Aubameyang, Schieber, Sarr, Durm
No comments:
Post a Comment