MABINGWA
Watetezi wa La Liga huko Spain, Barcelona, Jana Usiku wakicheza kwao
Nou Camp, waliifumua Rayo Vallecano Bao 6-0 na kuendelea kukaa kileleni
mwa Ligi wakifungana kwa Pointi na Atletico Madrid lakini wao wako juu
kwa ubora wa Magoli.
Bao za Barca kwenye Mechi hiyo zilipachikwa na Neymar, Lionel Messi, Bao 2, Pedro, Sanchez na Adriano.
Nao, Atletico Madrid, mapema hiyo Jana waliichapa Real Valladolid Bao 3-0 kwa Bao za Raul Garcia Escudero, Diego Costa na Diego Godin.Leo hii Real Madrid, ambao wako Ugenini kucheza na Getafe, wana nafasi ya kuzikamata Barca na Atletico ikiwa watashinda lakini watamkosa Supastaa wao Cristiano Ronaldo ambae atakuwa akitumikia Mechi ya Pili ya Kifungo chake cha Mechi 3.Pedro akifurahia hapa baada ya kufunga baoMessi akijaribu kukatiza katikati ya wachezaji wa Rayo Vellecano..

RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Februari 14
Elche CF 0 Osasuna 0
Jumamosi Februari 15
Atletico de Madrid 3 Real Valladolid 0
Levante 1 UD Almeria 0
FC Barcelona 6 Rayo Vallecano 0
Villarreal CF 0 Celta de Vigo 2
Jumapili Februari 16
1400 Granada CF v Real Betis
1900 Getafe CF v Real Madrid CF
2100 Athletic de Bilbao v RCD Espanyol
2300 Sevilla FC v Valencia
Jumatatu Februari 17
2400 Malaga CF v Real Sociedad
No comments:
Post a Comment