Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, April 14, 2013

SUNDERLAND YAIFUNGA NEWCASTLE UNITED 3-0ENGLISH PREMIER LEAGUE


Kocha Alan Pardew wa Newcastle Unied akisalimiana na Paolo Di Canio kabla ya mtanange leo hii mchana


Karibu North-East! Paolo Di Canio akichukua nafasi kuangalia mtanange kwa timu yake mpya ya Sunderland

Vuta vuta ya shati ..
Sylvain Marveaux akichuana na Danny Rose wa Sunderland
Sunderland penalty appeal as Danny Graham is held back by Steven Taylor

Mbwembwe za ligi kuu England...kocha Paolo Di Canio akishangilia bao baada ya Stephane Sessesgnon
kuipatia bao timu yake katika kipindi cha kwanza.Ushindi mtamu jamaniii.....hii inaitwa karibu Sunderland...

Wachezaji wa Sunderland wakipongezana baada ya bao kupatikana dakika ya 27 wakiongozwa na kocha mpya Paolo Di Canio.Nao Mashabiki wa Sunderland hawakuwa nyuma..hapa ilikuwa "usipime" muziki ..shangwe..
Kocha wa Sunderland  Di Canio(kulia) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake ili kulinda bao.

Mchezaji wa Newcastle Papiss Cisse akijaribu kumfunga kipa wa Sunderland Simon Mignolet

Stephane Sessegnon akimtoka Jonas Gutierrez wa Newcastle.Kazi ipo kwa kocha wa Newcastle Alan Pardew 
Celebration time: Paolo Di Canio goes mad on the sidelines as Adam Johnson (below) scores Sunderland second
 Paolo Di Canio akipagawishwa na  Adam Johnson kwa bao la pili
Di Canio celebrationKweli jamani au..

Johnson celebrationRaha ya mambao inatusaulisha saa nyingine...
Stunner: Adam Johnson curls home Sunderland's second goal
Adam Johnson akipachika bao la pili na kufanya 2-0 ndani ya uwanja wa Newcastle
Injury worry: Newcastle keeper Tim Krul is forced off
Kipa Newcastle keeper Tim Krul akijiuguza
Aerial duel: Yohan Cabaye beats Adam Johnson in the air
Yohan Cabaye akichuana kuuwania mpira dhidi ya Adam Johnson 
Note taker: Alan Pardew records his observations during the first half
Kocha Alan Pardew records akichukua rekodi zake ambazo ni za machungu mazito siku ya leo.

VIKOSI:
Newcastle United: Krul (Elliot 56), Debuchy, S. Taylor, Yanga-Mbiwa, Gutierrez, Tiote, Cabaye (c) (Ben Arfa 62), Marveaux, Sissoko, Gouffran (Shola Ameobi 46), Cisse
Substitutes not used: Perch, Haidara, Anita, Campbell
Booked: Gouffran, Cisse, S. Taylor 
Sunderland: Mignolet, Bardsley (Colback 54), Rose, Cuellar (Mangane 71), O'Shea (c), Johnson, McClean (Vaughan 64), N'Diaye, Larsson, Sessegnon, Graham
Substitutes not used: Westwood, Kilgallon, Mnadron, Laidler
Scorer: Sessegnon 26, Johnson 72, Vaughan 82
Booked: Rose, Johnson
Referee: Howard Webb (Rotherham)
Attendance: 52,355

No comments:

Post a Comment