MAKAMU WA RAIS AZURU KABURI LA HAYATI BENJAMIN MKAPA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa, kijijini kwake Lupaso, Wilaya ya Masasi, akiwa ziarani mkoani Mtwara, tarehe 12 Novemba 2026.
Wakiwa kaburini hapo Makamu wa Rais pamoja na familia, Viongozi wa Dini pamoja na Viongozi wa Serikali walifanya maombi, kuwasha mishumaa na kuweka shada la maua.
Post a Comment