SPIKA ZUNGU AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA UINGEREZA SIR. LINDSAY HOYLE



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Uingereza Sir. Lindsay Hoyle leo Oktoba 8, 2026 katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha( AICC) jijini Arusha.

No comments