Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, July 16, 2024

Twiga Stars bingwa Kombe la wanawake Tunisia

 



TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imetwaa ubingwa wa Kombe la Michuano ya Wanawake Tunisia 2024 yaliyofanyika Uwanja wa Terrain Ariana kwenye mji wa Tunis, Tunisia kuanzia Julai 13 hadi jana

Katika mashindano hayo ambayo yakishirikia nchi za Tanzania, Botswana na wenyeji Tunisia Twiga Stars imetawazwa kuwa bingwa baada ya kuwafunga wenyeji kwa mabao 5-0 huku ikitoka suluhu dhidi ya Botswana wakati wenyeji waliifunga Botswana 1-0.

Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Bakari Shime alisema michezo hiyo haikuwa rahisi huku akitaja mchezo dhidi Botswana unakuwa mgumu kila wanapokutana licha ya kupata matokeo mazuri na kuwapongeza wachezaji kwa kupambana.

No comments:

Post a Comment