Mkurugenzi wa The African Stars Band “Twanga Pepeta” Asha Baraka amesema dawa ya shoo za ndondo imepatikana na hataruhusu mchezo huo uendelee ndani ya bendi yake.
Akizungumza Asha Baraka alisema Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemhakikishia kuwa shoo za ndondo ni makosa na bendi zinafanya kinyume na sheria kwa vile hazijasajiliwa.
No comments:
Post a Comment