ARSENAL YAPEWA SIKU 13 KUJIBU MASHITAKA YA FA, KUKIUKA TARATIBU ZA UHAMISHO WA BEKI CALUM CHAMBERS
Pamoja na Arsenal, pia Wakala Alan Middleton amejumuishwa kwenye Mashitaka hayo na kupewa hadi Juni 17 kuyajibu.
Chambers,
mwenye Miaka 20, aljiunga na Arsenal kutoka Southampton Julai 2014 na
Msimu uliopita aliichezea Arsenal Mechi 36 na kuisaidia kukamata nafasi
ya 3 kwenye Ligi Kuu England.
Post a Comment