PACQUIAO AGEUKA GUMZO UFILIPINO, MAYWEATHER AJIANDAE KWA KIPIGO
Ndege
ya Kampuni ya Air Asia ikiwa na jina la pamoja na Picha ya
Mwanamasumbwi bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ambaye jumamosi hii
atapambana na bondia mwenzake wa Marekani Floyd Mayweather katika ukumbi
wa MGM Grand, Marekani.
No comments:
Post a Comment