Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, April 22, 2015

NEYMAR AONESHA KIWANGO,AIPA USHINDI BARCA NA KUFUZU NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONSLEAGUE

Nyema akipongezwa kwa kuifungia Barca bao mbili usiku huu dhidi ya PSG.Neymar dakika ya 34 aliifungia Barca bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya PSG kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira uliopigwa
Daniel Alves. Kipindi cha pili hakuna aliyeliona lango l mwenzake Timu zilishambuliana mara kwa mara. Ushindi huu Barca wanasonga hatua ya Nusu Fainali kwenda kukamilisha Timu Nne za Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya.Iniesta akiendesha!
Neymar dakika ya 14 aliifungia bao la kwanza Barcelona baada ya kutanguliziwa mpira mbele na Andrés Iniesta Luján na kukatiza kwa mabeki na kufunga bao hilo akimpiga chenga pia kipa wa PSG Sirigu.VIKOSI:
Barcelona:
Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mascherano, Jordi Alba, Rakitic, Busquets, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar.
Akiba: Bravo, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Sergi Roberto, Adriano.

PSG: Sirigu, van der Wiel, Marquinhos, Luiz, Maxwell, Verratti, Cabaye, Matuidi, Cavani, Ibrahimovic, Pastore.
Akiba: Douchez, Camara, Lucas Moura, Bahebeck, Digne, Lavezzi, Rabiot.
Refa: Svein Oddvar Moen

Barcelona vs Paris Saint-Germain

No comments:

Post a Comment