Jumla
ya vituo vitatu vitatumika katika hatua ya makundi kwa ajili ya Ligi ya
Mabingwa wa Mikoa (RCL) itakayoanza Mei 2 mwaka huu , vituo hivyo ni
Lindi, Manyara na Sumbawanga huku kila kituo kikiwa na timu tisa;
Lindi ni
Babati Shooting Stars (Manyara), Changanyikeni FC (Dar es Salaam),
Coast United FC (Mtwara), FFU Football Club (Dar es Salaam), Kilimanjaro
FC (Kilimanjaro), Matai FC (Rukwa), Sabasaba United FC (Morogoro),
Small Boys (Singida) na Super Star (Pwani).
Manyara ni
Alliance Schools (Mwanza), Bariadi United (Simiyu), Baruti FC (Mara),
Lukirini FC (Geita), Madini SC (Arusha), Mtwivila City FC (Iringa), RAS
Kagera FC (Kagera), Small Prisons (Tanga) na Watumishi FC (Shinyanga).
Sumbawanga ni
Abajalo FC (Tabora), Coca-Cola Kwanza FC (Mbeya), Gunners FC
(Dodoma), Lucent FC (Ruvuma), Market Place FC (Lindi), Mwanga United
(Kigoma), Nyundo FC (Katavi), Tomato FC (Njombe) na Zakhem FC (Dar es
Salaam).
Timu
mwenyeji zimeondolewa katika vituo vyao na kupelekwa vituo vingine ili
kuondoa masuala ya uzalendo, na kuhakikisha fair play inakuwepo.
No comments:
Post a Comment