SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI UWANJAB WA TAIFA
Serikali
imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika
matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa. Uamuzi huo umetangazwa Machi 3, 2015 jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.
No comments:
Post a Comment