Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, March 5, 2015

OLIVIER GIROUD NA ALEXIS SANCHEZ WAIPA USHINDI GUNNERS KWA KUIFUNGA QEENS PARK RANGERS MABAO 2-1

Dakika ya 64 kipindi cha pili Olivier Giroud aliwapa bao Arsenal na baadae dakika ya 69 Alexis Sánchez aliwafungia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya QPR.
QPR walipata Bao lao moja wakati Gemu ikiwa 2-0 katika Dakika ya 82 kupitia Charlie Austin.
Ushindi huu umewabakisha Arsenal Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 4 nyuma ya Timu ya 3 Man City na 9 nyuma ya Vinara Chelsea.
Patashika...Kipute kikiendelea..VIKOSI:
QPR:
Green, Furlong, Onuoha, Caulker, Yun, Phillips, Henry, Sandro, Hoilett, Austin, Zamora. 

Akiba: Hill, Wright-Phillips, McCarthy, Isla, Kranjcar, Vargas, Zarate.
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Gibbs, Cazorla, Coquelin, Rosicky, Sanchez, Giroud, Ozil.
Akiba: Koscielny, Walcott, Oxlade-Chamberlain, Ramsey, Chambers, Welbeck, Martinez.
Refa: Kevin Friend

No comments:

Post a Comment