Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 17, 2015

ARSENE WENGER ATAMBIA KIKOSI CHAKE KITAKACHOIVAA AS MONACO KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE:

LEO Jumanne Arsenal wako huko France kurudiana na AS Monaco ambayo iliwababua Bao 3-1 huko Emirates na Siku hiyo hiyo Atletico Madrid, ambao Msimu uliopita walichapwa 4-1 na Real Madrid kwenye Fainali ya Mashindano haya, wapo kwao Vicente Calderon Jijini kurudiana na Bayer Leverkusen iliyoshinda 1-0 katika Mechi ya kwanza huko Germany.
Jumatano Barcelona wanaikaribisha Man City huko Nou Camp huku Barca wakiwa mbele kwao 2-1 walizopata huko Etihad.
Nao Borussia Dortmund wako kwao Signal Iduna Park Jijini Dortmund kujaribu kuwatoa Mabingwa Italy Juventus walioshinda 2-1 katika Mechi ya kwanza.

Theo Walcott na Alexis Sanchez kwenye mazoezi
Danny Welbeck
Giroud na Hector
UEFA CHAMPIONS  LEAGUE
RATIBA
Marudiano - Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Mechi zote kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku

Jumanne Machi 17
AS Monaco v Arsenal [3-1]
Atlético Madrid V Bayer Leverkusen [0-1]

Jumatano Machi 18
FC Barcelona v Man City [2-1]
Borussia Dortmund v Juventus [1-2]

No comments:

Post a Comment