WORLD CUP 2014: ENGLAND 1 v ITALY 2, MARIO BALOTELLI AWAPATIA USHINDI ITALY
Mario Balotelli aliruka juu na kutupia bao kwa kichwa na kufanya 2-1 dhidi ya England, Bao lililotosha kuwapatia alama muhimu Italy mpaka dakika ya mwisho wa mpira wa dakika 90.
Mwisho wa kazi!!! 2-1
Kipa Hart hakuona ndani!
Mario Balotelli akishangilia bao lake la ushindi
Meneja Roy Hodgson kwake yeye aliona muda unakwenda haraka
Majanga!! kufungwa kubaya..
Daniel Sturridge akifurahia baada ya kusawazisha bao kwa kufanya 1-1
Sturridge akiusindikiza nyavuni mpira uliopigwa na Wayne Rooney
Kitu 1-1, Daniel akishangilia....
Gary Lewin akitolewa uwanjani baada ya kupatwa na sintofahamu
Mashabiki wa England walijitokeza kwa Wingi
Mashabiki wa England kwa raha zao
Patashika za Mashabiki wa England
Raha ya Mpira ni mashabiki bwana!! Cheki Mashabiki wa England..
Welbeck akiendesha...
Mashabiki wa England wakishangilia timu yao usiku huu
Chupuchupu kwa kipa wa Italy Salvatore Sirigu
Gabriel Paletta na Raheem Sterling wakiviziana kutoa mpira
Taswira ya mtanange na uwanja ulivyo...
Kipute kikaanze!!
Twende kazi!!!
Kikosi cha England
Mashabiki
mashabiki wa England wakitokelezea...
Mashabiki wa Italy
Hakunaga!!!
Taswira mtanange kuanza kati ya England v Italy
VIKOSI:
England: Hart, Johnson, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard, Henderson, Sterling, Rooney, Welbeck, Sturridge.
England: Hart, Johnson, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard, Henderson, Sterling, Rooney, Welbeck, Sturridge.
Subs: Foster, Wilshere, Lampard, Smalling, Oxlade-Chamberlain, Jones, Milner, Lambert, Lallana, Barkley, Shaw, Forster.
Italy: Sirigu, Darmian, Paletta, Barzagli, Chiellini, Verratti, Pirlo, De Rossi, Candreva, Balotelli, Marchisio.
Subs: Buffon, De Sciglio, Thiago Motta, Abate, Cassano, Cerci, Aquilani, Immobile, Parolo, Bonucci, Insigne, Perin.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
Post a Comment