GHANA YATOKA SARE YA 2-2 NA UJERUMANI
Miroslav Klose amefunga bao lake la 15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2.
TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya Ujerumani, lakini mechi hiyo imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Ujerumani wakitoka nyuma wamefanikiwa kuvuna pointi moja mbele ya Ghana walioonekana kucheza vizuri kwa dakika zote 90.
Mario Goetze (katikati) akiwapita mabeki wawili wa Ghana na kuifungia Ujerumani bao la kuongoza.
Hapa chini ni Vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Ujerumani: Neuer 6; Boateng 6 (Mustafi 45mins 5.4), Mertesacker 6, Hummels 6, Howedes 6; Lahm 7; Khedira 6.5 (Schweinsteiger 69mins 7), Kroos 7; Mueller 6), Ozil 7, Goetze 7 (Klose 69mins 7.5).
Wafungaji wa Magoli : Gotze 51, Klose 71
Kikosi cha GHANA: Dauda 7; Afful 6.5, Mensah 6.5, Asamoah 6, Boye 6; Boateng (J Ayew 51mins 6.5 ), Muntari 6, A Ayew 7.5, Atsu 7 (Wakaso 71mins 6); Rabiu 6 (Badu 77mins 6); Gyan 8
Wafungaji wa magoli: Ayew 54, Gyan 63
Mwamuzi : Sandro Ricci
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2420#sthash.dShSQYui.dpuf
Post a Comment