Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, February 11, 2014

RATIBA: LIGI KUU ENGLAND JUMANNE NA JUMATANO, ARSENAL v MAN UNITED

Jumanne Februari 11
22:45 Cardiff v Aston Villa
22:45 Hull v Southampton
22:45 West Ham v Norwich
23:00 West Brom v Chelsea

Jumatano Februari 12
22:45 Arsenal v Man United
22:45 Everton v Crystal Palace
22:45 Man City v Sunderland
22:45 Newcastle v Tottenham
22:45 Stoke v Swansea
23:00 Fulham v Liverpool

Kesho Jumatano patakuwa hapatoshi Emirates!!!

Baada ya kuchuana na Manchester United siku ya Jumatano Leo, Arsenal, itacheza tena na Liverpool katika raundi ya tano ya kuwania kombe la FA kabla ya kutoana jasho na miamba wa Ujerumani Bayern Munich katika mechi ya kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya.

No comments:

Post a Comment