MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 UWANJA WA SOKOINE, MBEYA

JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akikagua timu ya Mbeya city

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akikagua timu ya Mtibwa

Mbeya City

Mtibwa Sugar
 

No comments