Bondia Rudia Mashala kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ratifa Khalidi wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Champion Ship yaliyo malizika katika viwanja vya Kawe Dar es salaam Ratifa alishinda kwa pointi |
Bondia Ezira Paur wa Kigoma akipambana na Hafidhi Kassimu wa Ngome wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open CHampion Ship yaliyomalizika kawe Dar es salaam Paur alishinda kwa pointi |
Meya wa Kinondoni akizungumza wakati wa kufunga mashindano hayo |
Meya wa Manspaa ya Kinondoni Yussuph Mwenda akimkabizi Mwenyekiti wa timu ya Mkoa wa Kigoma Eddie Kikwesha baada ya kuibuka timu yenye Nidhamu katika mchezo wa masumbwi katikati ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis |
Katika picha ya pamoja
Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare akimzawadia kocha wa timu ya Kawe baada ya kuibuka washindi wa tatu katika mashindano hayo |
No comments:
Post a Comment