Leo
Barcelona wakicheza ugenini Sevilla wameifunga bao 3-1 timu ya Sevilla.
Sevilla ndio walianza kupata bao dakika ya 15 kwa shuti kali la
Alberto, Baadae dakika ya 34 Alexis akasawazisha baada ya kupigwa fri
kiki na Lionel Messi na hatimae Alexis kujitwisha mpira wa kichwa mpaka
langoni mwa lango la Sevilla huku Sevilla wakibaki kuduwaa. Dakika
ya mwisho mwa kipindi cha kwanza katika dakika ya 44 Barcelona wakapata
bao baada ya kufanya shambulizi la kushtukizia na bao hilo likifungwa
na Staa Lionel Messi kwa shuti kali. Na mpira kumalizika kwa kipindi cha
kwanza Barcelona wakiwa juu ya bao 2-1 dhidi ya wenyeji Sevilla.
Kipindi
cha pili uwanja ukiwa na maji baada ya mvua kunyesha kwa muda katika
dakika ya 56 Lionel Messi akafunga bao la tatu na kufanya mabao kuwa
3-1.
Dakika za lala salama dakika ya 88 Cesc
Fábregas aliyetokea benchi kwa kuchukua nafasi ya Pedro katika dakika ya
73 akawaongezea bao Barcelona na kufanya 4-1
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Sevilla
Messi tena akiifanyia Barcelona 3-1 dhidi ya wenyeji Sevilla
Mapema kipa Victor Valdes alifungwa na Alberto Moreno katika dakika ya 15
Wachezaji wa Sevilla wakipongezana baada ya kupata bao wakiwa wa kwanza.
Piotr Trochowski na Sanchez kwenye patashika
Hakunaga!!! Tupo kileleni tena leo!!!
Meneja wa Barcelona 'Tata' Martino akitoa maelekezo leo
Messi leo kafikisha mabao 334, na hapa akishukuru kwa yote!!

No comments:
Post a Comment