Mzee Wenger akiwasili kwenye mtaa wa Liverpool Lime baada ya kibano!
Majanga!! alijikuta akianguka chini na kuumia mgongo!!!
Mzee Wenger ilimchukua muda kusimama mpaka askari walimsaidia kumyanyua juu alipokuwa hapo kituoni.
Polisi akimpa msaada ya kumnyanyua juu Mzee WengerMgongo wangu jamani!!! Nimekwisha jamani!!
Ilibidi na Askari mwingine asaidie!! kubeba mizigo yake na mmoja amsindikize kwa karibu Mzee Wenger.
No comments:
Post a Comment