HALI YA HEWA MBAYA YASABABISHA MCHEZO WA MANCHESTER CITY vs SUNDERLAND KUHAIRISHWA ETIHAD

Mchezo wa Manchester City dhidi ya Sunderland uliokuwa uchezwe katika dimba la Etihad Stadium umeghairishwa kutoka na hali mbaya ya hewa. 
Polisi wa jijini Manchester wamethibitisha habari hiyo saa moja kabla ya kuanza kwa mchezo huo huku kukiwa na upepo mkali ambao umeufanya mchezo huo kughairishwa na kutokana masuala ya usalama. Etihad Stadium storm force conditions

No comments