Eden Hazard 27' •Eden Hazard 34
Kipindi cha kwanza kimemalizika Chelsea wakiwa 2-0, Bao zote mbili zikifungwa na Eden Hazard dakika ya 27 na 34 kipindi cha kwanza.
Kipendi cha pili dakika ya 63 Chelsea wakapata mkwaju wa penati na Eden Hazard akafunga bao hilo na kutimiza bao tatu (Hat-Trick) dhidi ya timu ya Newcastle United iliyokuwa ugenini leo Stamford Bridge.

No comments:
Post a Comment