Mchezaji
Victor Anichebe alitokea benchi kuchukua nafasi ya Morgan katika
dakika ya 73 na dakika ya 87 akasawazisha bao na kufanya 1-1 na
kuwavurugia mikakati yao Chelesea kileleni ambao wangelitangulia juu kwa
pointi 4 juu ya Arsenal ambaye anapointi 55 atakaye cheza na Man United
leo usiku kwenye uwanja wao Emirates.Kipindi
cha kwanza dakika za nyongeza dakika ya 45 Chelsea wamepata bao baada
kupigwa kona na Willium na hatimaye David Luiz kuugusa mpira huo kutua
mguuni mwa Branislav Ivanovic na kumfunga kipa Ben Foster wa West Brom Albion na mpira kumalizika kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji West Brom Albion.Branislav
Ivanovic kulia akiachia shuti lililozama hadi langoni mwa timu ya West
Brom Albion na kipa Ben Foster kutoona ndani yake.
Kipindi cha pili dakika za lala salama dakika ya 87 Mchezaji Victor Anichebe akitokea benchi kuchukua nafasi ya Morgan katika dakika ya 73 akasawazisha bao nakufanya 1-1. Bao safi la kichwa baada ya kupewa krosi safi na Saido Berahino. Mambo yakawa mabaya kwa timu ya Chelsea ugenini The Hawthorns.
Kipindi cha pili dakika za lala salama dakika ya 87 Mchezaji Victor Anichebe akitokea benchi kuchukua nafasi ya Morgan katika dakika ya 73 akasawazisha bao nakufanya 1-1. Bao safi la kichwa baada ya kupewa krosi safi na Saido Berahino. Mambo yakawa mabaya kwa timu ya Chelsea ugenini The Hawthorns.
Victor Anichebe wa West Brom akisawazisha bao katika dakika za lala salama na ngoma kulala sare!!
Mapema mwishoni mwa kipindi cha kwanza Ivanovic aliwapachikia Chelsea
bao na kufanya mpira kwenda mapumziko 1-0 kwenye uwanja wa West Brom
Albion the Hawthorns.
Ivanovic kwenye patashika ambapo bao lake limeyeyuka baada ya West Brom kuwakomalia na kutoka 1-1 usiku huu.
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao lao walilolipata mwishoni mwa kipindi cha kwanza.
MATOKEO:
Jumanne Februari 11
Cardiff City 0 v Aston Villa 0
Hull City 0 v Southampton 1
West Ham 2 v Norwich 0
West Brom 1 v Chelsea 1
MATOKEO:
Jumanne Februari 11
Cardiff City 0 v Aston Villa 0
Hull City 0 v Southampton 1
West Ham 2 v Norwich 0
West Brom 1 v Chelsea 1
No comments:
Post a Comment