Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, February 12, 2014

NI PATASHIKA LEO EPL ARSENAL vs MANCHESTER UNITED


Wachezaji wa Manchester United Wayne Rooney, Nemanja Vidic, Chris Smalling, Michael Carrick, Darren Fletcher, Robin van Persie pamoja na Alexander Buttner walipowasili jana mchana kwenye kituo cha Wilmslow railway station.
Arsene Wenger anaamini kuwa tishio kubwa kwao ni toka kwa Nahodha wake wa zamani Robin van Persie wakati Manchester United itakapotua Emirates Jumanne Usiku kucheza na Arsernal kwenye Mechi ya Ligi Kuu Endland. 

Rio Ferdinand na Carrick

Tom Cleverley na Ashley Young nao wapo kwenye kikosi.

Rooney nae kama kawaida

Rooney na Smalling wote walionekana kuwa na furaha
Mechi hii itakuwa na Balaa lake, arsenal wanataka kurudisha Heshima yao baada ya kubondwa na Liverpool bao 5-1 huku United wakitaka kumbana tena Arsenal kileleni na huku wakiwa hawana raha baada ya mechi yao ya mwisho kutoka sare OLD Trafford juzi kwa kutoka 2-2.
Per Mertesacker na Yaya Sanog kwenye mazoezi ambapo Yaya Sanog anaweza kukipiga kesho wakati Arsenal watakapoikaribisha Man United Emirates.

WACHEZAJI WA ARSENAL WAKIFANYA MAZOEZI TAYARI KUKWAANA NA MAN UNITED JUMATANO LEO HII.

Lukas Podolski mbele akifurahia jambo na wenzie Tomas Rosicky pamoja na Santi Cazorla (katikati) kwenye uwanja wa London Colney.
Heads you win: Mikel Arteta shows off his ball-juggling abilities as Arsenal prepare to respond to Saturday's 5-1 humiliation against Liverpool
Mikel Arteta
Sage: Manager Arsene Wenger passes on instructions to Jack Wilshere ahead of the crunch match at the Emirates
Bosi Arsene Wenger akitoa maelekezo kwa Jack Wilshere mapema kwenye mazoezi kabla ya kukutana na United kwenye uwanja wao Emirates.
Wenger, ambaye anataka Timu yake iibuke vyema baada ya kutandikwa 5-1 katika Mechi iliyopita ya Ligi huko Anfield walipoaibishwa na Liverpool, ametaja Robin van Persie ndie tishio kwao aliposema: “Van Persie ni Mchezaji bora. Ni juu yetu kujilinda dhidi yake. Nadhani kufungwa na Liverpool ni ajali na tutajibu na Man United!”
On the ball: Lukas Podolski is pursued by German compatriot Serge Gnabry during a training match
Lukas Podolski na Serge Gnabry kwenye London Colney
Strike a pose: Podolski and Alex Oxlade-Chamberlain show they mean business
Mastraika: Podolski na Alex Oxlade-Chamberlain

No comments:

Post a Comment