Naibu Waziri wa TEKNOHAMA, Januari Makamba kushoto akimkabidhi tuzo ya Mwanasoka Bora, kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia. Anayeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya MCL, Zuhura Muro |
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu' akimkadhi tuzo Refa Bora, Oden Mbaga |
Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Zamoyoni Mogella akimkabidhi tuzo ya bao bora, mwakilishi wa mshindi wa tuzo hiyo, Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe ya DRC |
Juma Kaseja, akipokea Tuzo ya 11 Bora kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya MCL, Zuhura Muro kushoto |
Amri Kiemba wa Simba SC akipokea tuzo ya 11 Bora |
Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga akipokea tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi kutoka kwa Mohammed Rweyemamu, Mjumbe wa Bodi ya MCL |
Mwanahaisi Omar akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike kutoka kwa Makamu Rais wa Shirikisho la Soka la Wanawake (TWFA), Rose Kisiwa kushoto |
Makamba akimkabidhi tuzo ya heshima, Nahodha wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Nicholaus Akwitende kulia |
Nahodha mwingine wa zamani wa Taifa Stars, John Lyimo akipokea tuzo ya heshima kulia |
Nahodha mwingine wa zamani wa Taifa Stars, Mbwana Abushiri akipokea tuzo yake |
Nahodha mwingine wa zamani Taifa Stars, Omar Zimbwe akipokea tuzo yake ya heshima |
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Said George aimpokelea tuzo Jellah Mtagwa |
Mtangazaji maarufu wa mpira wa zamani wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD), sasa TBC, Mzee Mshindo Mkeyenge (katikati) akipokea tuzo yake ya heshima |
Meneja Uhusiano wa Vodacom, Salum Mwalimu akimkabidhi Tenga tuzo ya Utawala Bora |
Wachezaji na wawakilishi wa wachezaji walioteuliwa katika 11 Bora ya gazeti la Mwanaspoti wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kushinda tuzo zao |
Mzee King Kiki alitumbuiza |
Rapa Joh Makini akitumbuiaza |
Rapa Joh Makini akiwataka waalikwa wainue mikono juu |
Na kweli watu wazima waliiua mikono kucheza Hip hop |
Rapa Juma Nature akitumbuiza |
Ofisa wa Azam FC, Patrick Kahemele akipokea tuzo ya 11 Bora kwa niaba ya Kipre Tchetche |
Juma Kaseja na Amri Kiemba baada ya kupokea tuzo zao |
Msanii akionyesha utundu na kipaji cha kunyumbulika |
Hivi ni vipaji adimu |
TBC1 walikuwa live jana |
Amerudi Yanga huyu; Kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado kushoto akifurahia jambo na Juma Kaseja |
Kutoka kulia kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi, kiungo wa Coastal Union, Uhuru Suleiman ma mwigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' |
Nahodha wa zamani wa Taifa Stars, Ally Mayay kulia akiwa na Kaburu |
No comments:
Post a Comment