Mgeni rasmi,
Kizito Bahati kwa niaba ya Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai mkoa wa Mwanza
(RCO), Joseph Konyo(wa pili kushoto), akimkabidhi kitita cha fedha taslimu
Shilingi 900,000/=, Nahodha wa mtumwi, Costantine
Lusajo kutoka Sengerema mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya mbio
za Mitumbwi zilizofanyika Katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa
wiki kwa uzamini wa TBL kupitia Bia ya Balaimi.Kulia ni Meneja mauzo wa Kanda,
Andrew Mbwambo.
|
No comments:
Post a Comment