Abou
Trika, ambae ndie aliefunga Bao walipotoka Sare 1-1 huko Johannesburg
na Pirates Wiki iliyopita, leo pia alifunga Bao la kwanza katika Dakika
ya 54.
Bao la Pili la Al Ahly lilifungwa na Ahmad Abdel Zaer katika Dakika ya 78.
Al Ahly walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Sherif Abdul Fadil kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 83 baada Kadi za Njano mbili.
Hii ni mara ya 8 kwa Al Ahly kuwa Mabingwa wa Afrika na Mwezi Desemba wataiwakilisha Afrika huko Nchini Morocco kwenye Mashindano ya FIFA ya Klabu Bingwa Duniani.

No comments:
Post a Comment