Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, October 1, 2013

WAFANYAKAZI WA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA WASHINDANA KATIKA MBIO ZA BAISKELI KWENYE MASHINDANO YA SHIMIWI DODOMA

 

01
Mkimbiaji wa mbio za Baiskeli wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Rajab Salum Sheikh (kushoto) akichuana na mpinzani wake wakati wa mashindano hayo ya Shimiwi, yaliyofanyika mjini Dodoma ambapo wakimbiaji walikimbia jumla ya Kilometa 36. Rajabu alimaliza mbio hizo na kushika nafasi ya tisa kati ya washiriki 22. Picha na OMR
02
2
Baadhi ya washiriki wakimalizia mbio hizo.
3
1
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliojitokeza kushuhudia mbio hizo.
6
Rajab akipongezwa na wafanyakazi wenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais, baada ya kumaliza mbio hizo za Kilometa 36. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment