
Sijuhi itakuwaje??
Vincent Kompany, Nahodha wa Manchester
City na Mchezaji wa Belgium, atakuwa nje ya Uwanja kwa Wiki hadi 4 baada
ya kuumia Nyonga kwenye Mechi ya Wikiendi City walipoifunga Everton Bao
3-1.
Pia, maumivu hayo yatamfanya akose Mechi muhimu za Man City
ambako yeye ndio nguzo kubwa kwenye Difensi na Mechi hizo ni za Ligi
dhidi ya West Ham, Chelsea na Newcastle, na ile ya UEFA CHAMPIONS
Ugenini huko Urusi watakapocheza na CSKA Moscow.

Vicent Kompany chini wakati anauguza majeraha yake wikiendi iliyopita wakati wanacheza na Everton ambapo City walishinda 3-1.

Kazi ipo kwa City bila Kompany.
Wachezaji wa Belgium wakifanya mazoezi, akiwemo mchezaji wa Chelsea Eden Hazar.

Eden Hazard akionesha mambo yake wakati wa mazoezi hivi karibuni.

Kompany kulia.
No comments:
Post a Comment