UEFA CHAMPIONS: SCHALKE 0 v CHELSEA 3, TORRES NA EDEN HAZARD WAIFANYIA KITU MBAYA SCHALKE 04!!
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana na kumpongeza Torres baada ya kuwapa bao na kufanya 0-1 dhidi ya Schalke.
Dakika ya 68 kipindi cha pili Fernando Torres anaifungia Chelsea bao lake la pili na kufanya 0-2.
Dakika za lala salama dakika ya 87 Eden Hazard akaifungia bao jingine Blues na kuongoza kwa bao 0-3 dhidi ya timu ya Nyumbani Schalke ambayo haikuambulia hata la kufutia machozi.
Post a Comment