
Mchezaji wa Manchester City Sergio Agüero akifanya yake kuhakikisha timu yake inashinda..
Sergio
Aguero akitumia mbinu zake na kumpita mchezaji Ignashevich na
kuifungia Manchester City bao la kusawazisha dakika ya 34 kipindi cha
kwanza. CSKA Moscow ndio walianza kuuifunga Man City dakika ya 32 kwa
bao la Zoran Tosic katika dakika ya 32. Bao la Man City la pili
limefungwa dakika ya 42 na Sergio Agüero akitupia mabo yote hayo mawili
peke yake kabla ya kipindi cha pili.

Mchezaji wa Manchester City Sergio Agüero (kulia) akishangilia baada ya kusawazisha bao hilo.

Keisuke Honda (kushoto) akipongezana na Zoran Tosic huku kulia Manchester City wakitaka kulianzisha ili wasawazisha bao hilo.

David Silva akizima mpira ili kumtoka mchezaji hatari wa CSKA Moscow Zoran Tosic

Benchi ni wachezaji wa Manchester City wakiwa wamejikinga na baridi kali
RATIBA/MATOKEO
Jumatano 23 Oct 2013
CSKA Moscow 1 v Manchester City 2
Bayer 04 Leverkusen v FC Shakhtar Donetsk
Manchester United FC v Real Sociedad de Fútbol
Real Madrid CF v Juventus
Galatasaray A.Ş. FC København
RSC Anderlecht v Paris Saint-Germain
SL Benfica v Olympiacos FC
FC Bayern München v FC Viktoria Plzeň
Post a Comment