SADIQ MOMBA ALISHA KWA KO RAUNDI YA 10 PAMBANO LA UBINGWA WA TAIFA
| Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika manzese jana |
| Bondia Iddy Mnyeke kushoto akimshambulia Mwalimu Alon wakati wa mpambano wao uliofanyika Manzese Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita Mnyeke alishinda kwa pointi |
| Bondia Lucas Mkenya kushoto akipambana na Adamu Yahaya wakati wa mpambano wao |
| Lucas Mkenya akivalishwa mkana baada ya kumdunda mwenzi |
| Bondia Sadick Momba (kushoto) akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Taifa, Momba alishinda K,O raundi ya kumi |
| Bondia Sadick Momba kulia akipambana na Amos Mwamakula wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa taifa, Momba alishinda K,O raundi ya kumi. |
Post a Comment