ARSENAL YAFUNGWA NA ASTON VILLA MABAO 3-1
Benteke akishangilia hapa
Santi Cazorla, Per Mertesacker na
Wojciech Szczesny wakiachwa kwenye mataa na huku wakiwa awaamini macho
yao kutoka kwa refa Anthony Taylor baada ya kuwapa penati nyingine.
Mchezaji wa Arsenal Kieran Gibbs akigala gala chini hapa baada ya kugongana kichwa na Andreas Weimann
Mzee Wenger akiangalia timu yake uwanjani huku mambo yakiwa magumu
Olivier Giroud akishangilia na wachezaji wenzie Aaron Ramsey, Tomas Rosicky na Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kufunga bao
Olivier Giroud akishangilia hapa!
VIKOSI:
Arsenal:
Szczesny 4; Sagna 5 (Podolski 90), Koscielny 5, Mertesacker 5, Gibbs 5
(Jenkinson 28, 5); Wilshere 6, Ramsey 5, Rosicky 6; Walcott 6,
Chamberlain 6 (Cazorla 46, 5); Giroud 6. Subs not used: Fabianski,
Frimpong, Gnarby, Sanogo. Sent Off: Koscielny (67).
Booked: Szczesny, Wilshere, Koscielny, Cazorla.
Goals: Giroud 6.
Villa: Guzan 7, Lowton 7, Vlaar 7, Baker 6 (Clark 17, 7), Luna 7; El Hamadi 7, Westwood 7, Delph 8; Agbonlahor 7, Weimann 8 (Bacuna 88); Benteke 8 Subs not used: Steer, Okore, Helenius, Bowery, Tonev.
Booked: Vlaar, Luna, Benteke, Westwood, Agbonlahor.
Goals: Benteke 22, 61 pen, Luna 85.
Att: 60,003
Ref: Anthony Taylor (Cheshire).
MOM: Benteke
Ref: Anthony Taylor - 4
MATOKEO:
Jumamosi 17 Agosti
Liverpool 1 vs Stoke City 0
Arsenal 1 vs Aston Villa 3
Norwich City 2 vs Everton 2
Sunderland 0 vs Fulham 1
West Bromwich Albion 0 vs Southampton 1
West Ham United 2 vs Cardiff City 0
Post a Comment