TAMASHA LA MATUMAINI LAIBUA MATUMAINI KWA WATANZANIA WAJUMUIKA PAMOJA, JK ATEMA CHECHE KWA WANASIASA UCHWARA
![]() |
| JK akisaini mpira mbele ya mwamuzi Othman Kazi |

![]() |
| JK akisalimiana na wasanii wa Bongo fleva |
| Kikosi cha Wabunge wa Simba |
| Kikosi cha wabunge wa Yanga |
| Bongo movie na bongo fleva wakichuana |
| Kocha wa bongo Muvi JB akifuatilia mpambano kwa makini |
| Ester Bulaya (mb) akichuana na Aunt Ezekiel |
| Halima Mdee(mb) akichuana na Jacline Wolper |
| Prezoo naye alikuwepo pia |
| Thomas Mashali akipokea ngao baada ya kumpiga kwa KO bondia wa Kenya |
| Kijana aliyeleta fujo akiwa amebebwa na baunsa baada ya kugoma kutembea wakati alipokamatwa na polisi |
| Bondia ambaye alikuwa mpinzani wake na Thomas Mashali akiwa chini baada ya kupokea konde zito |


Post a Comment