MWANZA YATWAA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS KWA UPANDE WA WAVULANA HUKU KINONDONI WAKIBEBA KWA WASICHANA
| Timu ya Mwanza wakishangilia baada ya kupokea hundi yao na kombe |
| Timu ya Kinondoni wasichana wakishan gilia na kombe lao walilotwaa baada ya kuifunga Ilala bao 1-0 |
| Rais wa TFF Leodgar Tenga akimkabidhi nahodha wa Kinondoni wasichana kombe |
| Waliokaa chini mbele ndio wachezaji bora sita waliochaguliwa kujiunga na timu ya Airtel Afrika |
| Timu ya Airtel Rising Stars wanaume itakayowakilisha nchini kwenye mashindano ya Afrika ya ARS wakiwa pamoja na uongozi baada ya kutangazwa |
| Timu ya Airtel Rising Stars wasichana itakayowakilisha nchini kwenye mashindano ya Afrika ya ARS wakiwa pamoja na uongozi baada ya kutangazwa |
| Kocha mkongwe Kenedy Mwaisabula akivishwa medali na Rai wa TFF baada ya kazi iliyotukaka ya kusimamia michuano ya ARS |
| Mwenyekiti wa DRFA Almas Kassongo akivishwa medali na Rai wa TFF baada ya kazi iliyotukaka ya kusimamia michuano ya ARS |
Post a Comment