JAPHET KASEBA AMCHAKAZA MMALAWI RASCO SIMWANZA NA KUCHUKUA UBINGWA WA PST
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana kazi na JOSEPHER NJELEKELA(KAMANDA WA KAMANDA) wakati wa mpambano wao Maokola alishinda kwa KO ya raundi ya tatu |
| Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa mpambano huo |
|
| Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi kushoto akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano |
| Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST |
| Bondia Kaseba akishangilia ushindi |
Post a Comment