MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa
Cameroon na klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi Samuel Eto’o ameteuliwa kuwa
mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu ya nchi hiyo kwa msimu wa 2012-2013.
Eto’o
ambaye amewahi kunyakuwa tuzo ya mchezaji bora Afrika mara nne, alikabidhiwa
tuzo hiyo baada ya kuisadia timu yake kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye
msimamo wa ligi wan chi hiyo.
Akihojiwa mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo
Eto’o ambaye pia ni nahodha wa timu hiyo amedai kufurahishwa na hatua hiyo na
kuwashukuru mashabiki wa soka nchini humo pamoja na waandishi wa habari kwa kuwa
nyuma yake wakati wote.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 32 atakosa mchezo wa
kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2014 wa timu ya taifa ya nchi yake dhidi ya
Togo utakaochezwa Juni 9 mwaka huu kutokana na majeraha yanayomsumbua.
Rais Samia ashuhudia Uapisho wa Makamu wa Rais
-
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan, ameshuhudia uapisho wa Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi kuwa
Makamu w...
NBC Yatoa Mikopo ya Makazi kwa Wakulima 57
-
- Yaendelea kukabidhi Malori kwa Vyama vya Ushirika
Kufuatia hatua ya Serikali kukabidhi Shilingi bilioni 300 kwa taasisi saba
za kifedha, ikiwemo Benki...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Post a Comment