Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, May 8, 2013

CHELSEA YABANWA NA TOTTENHAM HOTSPURS, ZATOKA SARE YA 2-2, SASA NI VITA YA KUTAFUTA TOP 4


Wachezaji wa Chelsea wakimkumbatia Oscar baada ya kuwapatia bao dakika ya 11

SARE ya Mabao 2-2 Uwanjani Stamford Bridge kati ya Chelsea na Tottenham leo jumatano Usiku imezua balaa kubwa kwa Timu hizo pamoja na Arsenal katika vita ya kutafuta Timu 2 zitakazoungana na Mabingwa Manchester United na Man City kucheza UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao.Zikiwa nafasi 2 ziko wazi kufuzu kucheza Ulaya na wagombea ni Chelsea, Arsenal na Tottenham ambao tofauti kati yao ni Pointi 3 tu na Mechi zimebaki 2, Mechi hizo zilizosalia zitakuwa kali na za mvuto. Emmanuel Adebayor akifunga bao baada ya kufanikiwa kutoka na mpira katikati na kuziona nyavu dakika ya 26 mbele ya mabeki wote wa Chelsea na kipa kutoona ndani yake kwenye kona
Ramires akifurahi baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Spurs.
Ramires akishangilia kwa sana baada ya kufunga bao lake na huku mechi zikiwa zimebaki mbili tu msimu kukatika.Na hivi ndivyo kipindi cha kwanza kilivyoisha Chelsea wakiwa mbele ya bao mojaGareth Bale akichuana na mchezaji wa ChelseaBale na mwendo kasi...Torres yeye alichemka kufunga leo hii ikiwa ni pamoja na Bale Gylfi Sigurdsson akifunga bao dakika ya 80 na kusawazisha bao, Baada ya mabeki kufanya makosa ya kutomkaba.
VIKOSI:
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Cole, Ramires, Luiz, Oscar (Benayoun 84), Mata, Hazard (Moses 73), Torres.
Subs not used: Turnbull, Lampard, Terry, Ba, Ake.
Goals: Oscar 11, Ramires 39.
Booked: Ramires
Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Assou-Ekotto, Parker, Huddlestone, Lennon (Sigurdsson 62), Bale, Holtby (Dempsey 70), Adebayor.
Subs not used: Friedel, Naughton, Defoe, Caulker, Carroll.
Goals: Adebayor 26, Sigurdsson 80.
Booked: Bale, Vertonghen
Referee: Mike Dean

No comments:

Post a Comment