BONANZA LA MAKAMPUNI LEADERS CLUB LAFANA, SHIRIKA LA NYUMBA LAONYESHA KANDANDA SAFI LICHA YA KUONDOLEWA KWENYE HATUA ZA AWALI
| Wachezaji wa timu ya Shirika la nyumba (NHC) (waliovaa kijani) wakipambana kwenye mchezo dhidi ya timu ya Umoja water lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni |
|
|
| Kocha wa timu ya Shirika la Nyumba (katikati aliyevaa miwani) Almas Kasongo akizungumza na wachezaji wakati wa mapumziko |
| Timu ya Umoja water |
| Mchezaji wa Timu ya Castle lager (aliyevaa red) akiwatoka wachezaji wa timu ya Clouds (blue) kwenye mchezo wa bonanza la makapuni Leaders Club jana |
| Mchezaji wa CRBD (green) akiachia shuti huku mchezaji wa NMB akijaribu kuzuia kwenye bonanza la makampuni lililofanyika jana Leaders Club |
| CRBD (green) na NMB (white) kwenye bonanza la makampuni lililofanyika jana Leaders Club |
| Mchezaji wa vodacom aliyeko chini akiuangalia mpira kwenye bonanza la makapuni lililofanyika jana Leaders Club |
| Vodacom timu |
| Simbanet (white) wakipambana na Clouds (blue) |
| Fast jest (black and yellow) wakionyeshana kazi na castle lager (red) kwenye bonanza la makampuni lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jana |
Post a Comment